Thursday, October 6, 2011

MVUA ZILIZONYESHA GHAFLA KATIKA MANISPAA YA SONGEA ZILIZONYESHA LEO ZIMELOWANISHA MAHINDI KATIKA UWANJA MDOGO WA ZIMAMOTO YALIYOKUWA YAISUBIRI KUUZWA

Hayo ni baadhi ya magunia ya mahindi ambayo hayaja funikwa kwa maturubai hivyo mvua iliyonyesha leo Mjini Songea zimesababisha mahindi yalowane na mvua hiyo,na kama tahadhari hazitachukuliwa mapema wenye mahindi hayo yataota na kusababisha hasara hasa wa walanguzi waliyo wakopa wakulima vijijini kwa lengo la kuwalipa baada ya kuyauzamahindi hayo kwenye ghala la Taifa.

No comments:

Post a Comment