Sunday, February 13, 2011

CHEMBELE APPLIED ZONE AND BUFALO WAUZAJI WA PIKIPIKI MWADA JET FIGHTER AND SANLG MJINI SONGEA WAMEANZA TENA

 Chembele Applied Zone Ltd wapo opposite na benki ya NMB soko kuu Manispaa ya Songea,wauzaji wa pikipiki aina ya SANLG na Mwada Jet Fighter ni bora  zina himili mikimiki ya baranara za Songea,Mbinga wanapatikana pia,Morogoro,Masasi Kahama na Dar es salaam Kariakoo.
 Bwana Mataja muuzaji wa pikipiki hizo akionyesha pikipiki zilizoletwa hivi katibuni na kuanza kuuzwa.Mjini Songea.

Hawa ni wauzaji wazoefu wa pikipiki hizo,zinazoweza kusafiri kutoka Mbinga na kwende Mbamba Bay,na kurudi,Rwanda,Maguu, na Hospitali ya Litembo bila matatizo.bei zao ni nafuu.

3 comments:

  1. Mwalimu;

    Hizo pikipiki za SANLG zinauzwa shilingi ngapi? Ningependa kujua bei yai yake. Asante kwa taarifa.

    ReplyDelete
  2. Asante Mwalimu Matondo kwa kusoma Blog,maana mitandano sasa imepanda chati.

    Bei za Pikipiki Aina ya SANLG ni shilingi 1,980,000/= amnbapo maduka mengine hapa Songea na shilingi 2,000,000/= na kuendelea.

    Karibu sana.

    ReplyDelete
  3. Samahani bei zake ni shilingi 1,850,000/=

    ile bei ya mwanzo ilikuwa ni za MWADA JET FIGHTER

    ReplyDelete