Friday, February 11, 2011

FURAHA ,SHANGWE NA VIFIJO VIMETAWALA KWA WA MISRI LEO MJINI CAIRO

 Rais Hosni Mubarak leo kaachia madara yake ya Uris baada ya wananchi kuandamana kushinikiza ang'atuke kwa siku 18.hawakuamini masikio yao kusikia kuwa ameamua kujiuzuru.ndipo furaha za wamisri zinaendelea,wakisema ndoto zao zakuleta maendeleo zitapatikana.
Naye Rais Barak Obama anasema kung'atuka kwa Hosni Mubaraka kutawafanya wananchi wa Misri kujengeka kidemokrasia,na kuwa na matumaini mapya.

No comments:

Post a Comment