Monday, February 7, 2011

UNAJUA NINI JUU YA PROGRAMU YA MABORESHO YA SHERIA NCHINI ?

ASP Alphonce Magabc akieleze jinsi programu ya maboresho ya sheria nchini katika semina ya kujadili jinsi maboresho ya sheria nchini,na kwa namna gani wananchi wanazifahamu sheria,na kuzijua haki zao za msingi.

Semina ya siku moja iliyofanyika katika ukumbu wa SACCOS ya walimu katika Manispaa ya Songea leo.

No comments:

Post a Comment