Friday, February 11, 2011

SI MAJIMAJI WALA SI YANGA YA DAR ES SALAAM KATIKA UWANJA WA MAJIMAJI SONGEA

 Kikosi cha Timu ya majimaji maarufu kwa jina la wanalizombe kilicho waharibia Timu ya Yanga ya Dar es salaam katika uwanja wao wa nyumbani wa majimaji hivi karibuni.
Kikosi cha Timu ya Yanga ya Dar es salaam kilicho shindwa kutamba mbele ya wanalizombe kwa kutoka sare.hakuna aliye wahi kugusa nyavu ya mwenzake hati kipenga cha mwisho.Lakini sere hiyo haiwaondoi katika ubingwa wao.

No comments:

Post a Comment