Monday, February 14, 2011

MBUGA Z A WANYAMA SELUU KUSINI NI KIVUTIO KWA WATALII

Seluu ni hifadhi ya taifa  yenye wanyama wa kila aina,tembo,nyati,viboko,ndege wa kila rangi ,kusini ina vivutio vya kila aina wawekezaji wajitokeze kuja kuwekeza katika vyanzo anuai vya mapato,zaidi nita kuletea Mlolongo wa utalii Kilwa ,kilwa kivinje na Kilwa Kisiwani.Chimbuko la kihistoria zaidi utajionea mwenyewe.

No comments:

Post a Comment