Thursday, February 17, 2011

BREAKINGNEWS !!!RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI AMANA HOSPITALI

 Rais Jakaya Kikwete apata maelezo juu ya majeruhi wa mlipuko wa mabomu Gongo la Mbopto kutoka kwa mganga wa hospitali ya Amana.Aidha Rais amewataka wananchi walio kimbia makazi yao warudi kwenye makazi yao kwani Serikali imedhibiti hali hiyo.na hali ni salama.
 Huyo ni mama aliyejeruhiwa na bomu ambalo lili mkata mkono wakati akikimbia milipuko ilipozagaa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bibi Blandina Nyoni akitoa maelezo kwa waandish wa habari hapo Amana alipo kwenda kuoana hali halisi ya huduma katika Hospitali hiyo.

No comments:

Post a Comment