Thursday, February 17, 2011

BREAKINGNEWS !!!! LEO NDIYO LEO,WASAFIRI WAMDHIBITI DEREVA WA BASI LA SAIBABA LIENDELO ARUSHA LEO KIBAHA

Dereva huyo wa kampuni ya Saibaba yatokayo Dar es salaam kwenda Arusha ,aliye kataa kutaja jina lake alipokuwa akihojiwa na Polisi Kibaha alisema yeye alikuwa hajalewa ila alikunywa  kiroba kimoja tu.Aliendelea kukataa na kuwatishia wasafiri wake wachukue swichi waendeshe wao.

Wasafiri wali mgundua alipoanza safari Terminal Dar es salaam,mwendo kasi alivyo fika Kibaha alitaka avamie nguzo  ya umeme.Hongera wasafiri kama nyie na wengine wafuate nyayo za wasafiri wa Arusha.kukeme amadereva walevi anapo wagundua.

No comments:

Post a Comment