Monday, February 14, 2011

NAWATAKIA SIKU NJEMA YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAYA) POPOTE MLIPO


 Valentine Day ama siku ya wapendano,duniani ina kila aina ya mbwembwe zake ,utakuta watu wamevaa nguo nyekundu,na wengine hadi vitambaa mezani,sofa na hata vitanda vimependezeswa na rangi vyekundu.Lakini wataalamu wa rangi wanakwambia mtu anayependa rangi nyekundu mara nyingi ni mkali kwa kuwa rangi yenyewe ni kali ,sijui mwana wapendanao alikuwa na Logic gani alipoteua rangi nyekudu red colour iwe ya wapendanao.
Siku hii ya wapendanao leo wanakuja na ngoma yao kutoka kusini mwa nchi ya Tanzania inaitwa Lizomge ama kitoto wakisherekea Valentine Day miji Songea - mkoa wa Ruvuma.






Wengine wanapamba kwenye vitanda vyao mashuka na mito yenye rangi nyekundu ( red colour ) kuashiria Valentine Day )

No comments:

Post a Comment