Wednesday, February 9, 2011

KAZI ANAYO FANYA MWANDISHI WA HABARI HAINA KIPIMO CHA MALIPO

 Komba Lipuka mwandishi wa habari mkongwe anasema hakuna atakaye mlipa mwandishi,kwani waandishi wanaibua mambo makuwa yenye kuingizia serikali mabilioni ya fedha yeye haambuli kitu alisema hayo kwenye semina ya maboresho ya sheria za nchi mjini Songea
SR.Maria Mteule Haule OSB elimu tumepata ya maboresho ya sheria za nchi,tunaahidi kwenda kuzifanyia kazi.baada ya semina Sr alitoa shukrani mjini Songea.

No comments:

Post a Comment