Kutana na wanafunzi wanafunzi ambao wako darasani kwa mafunzo ya vitendo,mafunzo hayo yapo katika hatua kadhaa ambayo yameainishwa katika jedwali hapo chini na gharama zake kwa kila Program.
Sayansi na teknolojia ya sasa ni muhimu kujua matumizi ya Computer hatau kwa hatua,Utanadawazi maana yake ni kujua matumizi ya Computer,haijalishi umri wa mtu,wala elimu ya mtu,kwa bahati nzuri au mbaya msomi wa elimu ya kuu kabisa lakini matumizi ya computer yakampitia kisogoni sasa wakati ni huu.
Vijana nao hawapo mbali kwa kujifunza Computer,hawa ni baadhi ya wanafunzi wa chuo hiki mashuhuri sana hapa Manispaa ya Songea.Isitoshe Mkurugenzi wa Chuo hiki ni mtaalamu wa Instolation of Computer and Ant Vuirus kwnye computer Mr.Mpele Soka.
Chuo cha Easy
Tech.Computer Training Centre ambacho kipo ndani ya manispaa ya songea kinatoa mafunzo ya computer kwa kozi zifuatazo:
No:
|
kozi
|
muda
|
|
1.
|
CERTIFICATE IN OFFICE APPLICATIONS
|
15 WEEKS
|
180,000/=
|
2.
|
CERTIFICATE IN
COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE
|
2MONTHS
|
200,000/=
|
3.
|
CERTIFICATE IN ACCOUNTING PACKAGE- (PASTEL,TALLY OR M.Y.O.B. AND QUICK BOOK).
|
@ 3 WEEKS
|
80,000/=
|
Ndani ya hiyo kozi namba 1 kuna program zifuatazo
ü
Introduction to computer kwa Tshs. 20,000/-
ü
Ms. word
kwa T.shs 25,000/=
ü
Ms Excel
kwa Tshs.25,000/=
ü
.Ms PowerPoint kwa T.shs 25,000/=
ü
Ms.
Access kwa T.shs. 25,000/=
ü
.MS.Publisher kwa T.shs. 30,000/=
ü
.Internet and Email kwa 30,000/-
Pia tunatoa fomu ya kujiunga na chuo kwa shilingi 2000/= tu
Chuo kinawakufunzi waliobobea kwenye fani ya computer, kinatoa
ofa kwa atakaye weza kulipia programme 6
kati 7 za computer kwa mara moja atapata kusoma programme ya kwanza bure ( introduction to computer) wahi sasa nafasi ni chache bei zetu ninafuu sana.
Malengo yetu ni kuhakikisha mtu anaelewa wala siyo
kumaliza programme chuo kimenuia kwa
dhati kabisa kutoa elimu bora ili kuendana
na ulimwengu wa sasa wa teknologia ya mawasiliano ya computer. (IT)
Chuo kinapatikana katika jengo la ok hotel mkabala na wa Krister
Park (fast Food ) songea mjini. Karibu na kanisa la Lutherani
(KKKT usharika wa kanda ya kusini)
watu
wa rika zote mnakaribishwa njooni mjionee tofauti kwa kupata elimu bora
inayokidhi matakwa yako kwa bei nafuu sana .
na muda mfupi.
Kwa Mawasiliono Zaidi Piga Simu : 025
2602428, AU SIMU YA KIGANJANI:(0713/0752/0787) - 440996
N.B :_-Nimetuma picha tofauti ili uchague zipi zinafaa
No comments:
Post a Comment