Wednesday, February 16, 2011

Leo ni waisalamu wanaungana na waislamu wengine kusheherekea Maulidi

Huu ni kati ya misikiti mikongwe Duniani kati ya 695 -  705 BK Msikiti wa Umawiya Mjini dameski katika Syria.

Blogu ya TUJIFUNZE Kusini inawataki heri na fanaka kwa kusherehekea Mulidi Duniani kote,tunaungana nao katika kuomba, maana Sala ya  Maulidi imesaliwa katika maeneo mbalimbali duniani kwa lengo la kumuomba Allah aishushie amani,upendo na mshikamano kwenye nchi ambazo amani imepotea.
Amani na mshikamano ni muhimu kwa madhehebu yote Duniani,hasa katika nchi yetu ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment