Friday, February 4, 2011

MJADILIANO WA WAANDISHI WA HABARI NA WADAU SONGEA RUVUMA

 Picha ya pamoja ya Waandishi wa Habari na wadau wa habari katika ukumbi wa maliasili mkoa wa Ruvuma leo.
 Mwenye kiti wa Bodi ya MTC akisalimu wadau wa habari na waandishi wa habari Bwana Theophil Makunga kuwa Songea na wenyeji wake wana historia ndefu.
 Meya wa manispaa ya Songea akiteta naMwenyekiti wa Press Club Songea Bw. Juma Nyumayo.
 Baadhi ya wadau wa habari wakipata chai kidogo
aFISA HABARI Mkoa wa Ruvuma Bwana Revocatus Kasimba akisoma kwa wandishi wa habari na wadau wa habari ukumbi wa Maliasili Mkoa wa Ruvuma leo.

No comments:

Post a Comment