Friday, February 11, 2011

BREAKINGNEWS !!11TEKNOLOJIA YA HABARI NJISI INAVYO RAHISISHA MAMBO

 Mwenyekiti wa Press Club Ruvuma Bw.Juma Nyumayo aliye simama akimkaribisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mhe.Ally Said Manya  aliye kaa kufungua mdahalo wa wadau wa habari mjini Songea hivi karibuni.
Mwenyekiti huyo ni mwanataaluma ya habari na mtumiaJi mkubwa wa vyombo vya habari na mawasiliano akimwelekeza Blog yake Bw.Adam Nindi mwandishi na mtangazaji wa Star TV na Radio Free Africa Songea,ni mwandishi wa habari za uchunguzi za makaa ya mawe yaliyo kuwa  yakiwaka moto chini ya ardhi  Wilayani Mbinga mwaka jana.

No comments:

Post a Comment