Monday, February 7, 2011

MABORESHO YA SHERIA NCHINI KUMESAIDIA WANANCHI KUTAMBUA SHERIA

Bwana Oddo Hekela Afisa kazi Mkoa wa Ruvuma anasema kutokana na maboresho ya sheria ,sheria za mirathi,ardhi,na haki za binadamu.

Alisema bado kuna watu hawajui wapeleke wapi matatizo yao,mtu anamalalamiko yake na mwajiri wake ,utakuta mtu huyo anapeleka malalamiko yake polisi.

No comments:

Post a Comment