Tuesday, February 1, 2011

SERIKALI INAPOSISITIZA KUHIFADHI MAZINGIRA INA MAANA YAKE UNAPOKIUKA UNASABABISHA HASARA KUBWA KWA TAIFA. LETU.

Watu wasiojulikana wameliingizia hasara taifa kwa kuchoma moto msitu wa miti Sao hill,Wilayani Mafinga Mkoani Iringa Tanzania sijui kwa uzembe,kushindana kuonyesha mkono wake unavyo weza kuchoma na kuteketeza msitu huo au ni nini sasa.

Msitu wa Sao hill ni  msitu ambao kiwanda cha karatasi cha Mgololo linategemea miti hiyo,Isitoshe mbao nyingi zinatokana na msitu huo,kwa ajili ya kutengenezea  furniture,kupau majumba,hata kuni pia.Ikumbukwe msitu unapochomwa ,miti,nyasi na viumbe hai vinateketea vilevile.

Nadhani serikali iweke sheria kali wa wale wanaojifanya wanamikono mizuri katika kuchoma misitu,mbuga za hifadhi za taifa ili wajifunze iwapo mmoja wao akichukuliwa hatua na vyombo vya dola.

No comments:

Post a Comment