Wednesday, February 9, 2011

WATU WENGI WANAKOSA HAKI ZAO KWA SABABU HAWAJUI SHERIA ZA NCHI


Waandihi wa habari na wadau wa maboresho ya sheria za nchi wakijadiliana kwa kina jinsi watu wanavyo kosa haki zao kwa kutokuzifahamu mjini songea mkoa wa Ruvuma.
Bwana Nilah ni mtangazaji na mwandishi wa radio maria haki za wafungwa zinasemaje kutokana uvunjifu mbukwa wa haki za binadamu magerezani?

No comments:

Post a Comment