Wednesday, February 9, 2011

Breaking news !!!! mimba 85 zawaliza wanafunzi wakike wa sekondari Tunduru

Jumla ya wanafunzi 85 wa shule za sekondari wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma wamekatisha masomo yao baada ya kutiwa mimba  kwa vipindi tofauti.

No comments:

Post a Comment