Thursday, February 17, 2011

BREAKINGNEWS MAKAMU WA RAIS DKT BILALI ATEMBELEA KIKOSI CHA 511 CHA JWT KUJIONEA MADHARA YALIYO SABABISHWA NA MILIPUKO YA MABOMU KATIKA MAGHALA 22 GONGO LA MBOTO

 Makamu wa Rais Dkt Bilali apewa maelezo kuwa mabomu yameteketeza maghala 4 yaliyo hifadhi nguo na vitu kadhaa,aidha maghala ya silaha 23 lakini maghala 22 ndiyo yaliyo lipuka na kuleta madhara makubwa.
Hali ilikuwa hivyo askari huyo akiwa na baadhi ya silaha hizo ambazo zilileta balaa usiku wa jana.

No comments:

Post a Comment