CAPTIONS OF PUBLISHES PICTURES, PLEASE TAKE CARE FOR THOSE PICTURES WITH NO CAPTION SORRY FOR THAT.
CHAMA CHA CCM JIMBO LA SONGEA MJINI KWENYE UCHAGUZI WA UBUNGE,MADIWANI NA WA VITI MAALUMU.WIKI ILIYOPITA
2.MHESHIMIWA EMENUEL NCHIMBI MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI AKITETEA JIMBO LAKE,AKIPOKEA KADI ZA WANACHAMA WA NCCR MAGEUZI,CHADEMA,CUF WALIOCHUSHWA NA UBABAISHWAJI WA VYAMA HIVYO.
3.DKT NCHIMBI AKIMNADI BWANA ERNEST HAULE KWA JINA MAARUFU OKY WAMCHAGUE KWA KURA NYINGI KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA UDIWANI KATA YA MAJENGO,KATA INAYOONGOZWA NA CHADEME,'HAULE NI MWADILIFU,MTUMZAIMA,HAJANYANG'ANYA MKE WA MTU HIVYO ANABUSARA ZA KUTOSHA KUMSHINDA WA CHADEMA' .ALISEMA NCHIMBI
4.UBUNIFU NI MSINGI WABINADAMU NI KIPAJI ADIMU MUNGU ALIWAPA BAADHI YA WATU KUWA NACHO.KATIKA KUMKUBALI DKT NCHIMBI MSANII MMOJA HAKUTAJA JINA LAKE ALIZAWADIA DKT EMENUEL NCHIMBI PICHA YAKE YA KUFINYANGA KWA UDONGO SIKU YA UZINDUZI HUO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MAJENGO SONGEA MJINI.