Saturday, May 14, 2011

HALMASHAURI ZA MKOA WA RUVUMA ZIMETENGA BAJETI ZA MICHEZO

Afisa michezo wa Mkoa wa Ruvuma amewaambia wajumbe wa kikao cha ushauri cha mkoa RCC kuwa kutokana agizo la TAMISEMI kwa Halmashauri zake kutenga bajeti ya michezo ,Halmashauri za mkoa huo zimetekeleza agizo hilo.


Amesema kuwa mkoa una vyama vya ngumi,mpira wa mikono.mpira ya nyavu na mpira wa miguu pamoja na michezo ya utamaduni.

Kuhusu kushuka daraja kwa timu ya majimaji ,afisa huyo hakulisemea suala hilo,ila alicho sema kuwa Ruvuma  warriors inaendelea kufanya vizuri katika michezo yake huko mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment