Tuesday, May 10, 2011

Ruvuma yatekeleza miradi ya millennium challenge kwa ujenzi wa barabara za lami

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma Akisoma hotuba ya ufunguzi wa kikao cha kamati  ya ushauri cha mkoa ( RCC ) katika ukumbi wa Songea Club leo
 Wakuu wa wilaya wa kwanza ni Col.Edmund Mjengwa wa Mbinga  wa pili mwenye suti nyeusi ni Bwana Saveli Maketta Namtumbo na mwenye suti ya kijivu ni mkuu wa wilaya ya Tunduru Bw.Juma Madaha.


Baadhi ya wajumbe akiwemo Mhariri Msaidizi Kanda ya Kusini TUJIFUNZE Bw.Juma Nyumayo mwenye suti ya Blue.

No comments:

Post a Comment