Monday, May 2, 2011

SHUELE ZIKIWA NA MICHEZO,BENDI ZINAKUWA KIVUTIO KWA WANAFUNZI

 Pamoja na mambo mengine Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI Mhe.Kasimu Majaliwa  alivutiwa na bendi ya shule hiyo ya sekondari Lupunga wakati wakiimba wimbo maalumu,ila upungufu wa bendi hiyo ni kuwa haina firimbi hata moja.

No comments:

Post a Comment