Monday, May 2, 2011

MZEE KIJIKO AMEIBUKA MKOANI MTWARA,KILIANZA KIKOMBE LOLIONDO SASA KIJIKO MTWARA

Mkazi mmoja Mkoani Mtwara Kijiji cha naliendele Mohamedi Linangwa ni mwathirika wa UKIMWI na mwanachama wa kutumia dawa za kuongeza maisha,ameoteshwa dawa ambayo aliitumia na sasa amepona kwa uthibitisho wa daktari wake wa hosipitali ya Kigula Mtwara.

Mgonjwa anapewa kijiko kikubwa cha chakula basi mambo yanakuwa poa,Mungu sasa huenda amejilia uwezo nchi yetu kwa kuoteshwa dawa za kutibu magonjwa sugu,ndio hivyo huenda kesho utaoteshwa wewe ukaambiwa uwape wagonjwa kwenye upawa au mie kesho kutwa nikaoteshwa kuwa niwape wagonjwa dawa kwenye biliuri huwezi kujua ya Mungu.


No comments:

Post a Comment