Meneja wa husiano wa TANESCO Badra Masoud amesema tatizo la kukati kwa umeme mara kwa mara ni kwa sababu ya uchakavu wa mitambo yake inayo tumia umeme wa maji.Alisema umeme wote unaozilishwa unatumika hakuna umeme wa ziada.Aidha alisema mgao unaoendelea sasa si wa TANESCO ni kwa sababu ya matengenezo ya mitambo ya umeme wa gesi Songosongo..Amesema umeme unaotumika hivi sasa ni MEGAWAT 350,na umeme wote wa maji,mafuta,na gesi unaozalishwa ni MEGAWAT 750
Amesema kuwa mitambo hiyo ni ya siku nyingi na kuifanyia ukarabati ni gharama kubwa ni bora kununua mitambo mipya .alisema umeme wote unaozalishwa ni kutoka kwenye vyanzo vya maji,mafuta na gesi.