Wednesday, June 1, 2011

WASOMAJI WA BLOG HII SIYO NILISAFIRI BALI MATATIZO YA KIUFUNDI NA SONGEA INAVYO KARABATI BARABARA ZA MANISPAA YAKE

Mtaa wa kuelekea msikiti wa Mkoa Manispaa ya Songea Greda limeshapita katika harakati za manispaa hii kukarabati barabara zake.
Ni barabara za katikati ya mji usawa wa soko kuu la Songea
Waliyoketi sio wanashangaa bali ni wafanya biashara waliokuweko nje ya maduka ya Manispaa hii.

No comments:

Post a Comment