Thursday, June 9, 2011

PICHA YA PAMOJA YA MAASKOFU PAMOJA NA RAIS MSTAAFU NA MKEWE NA MKUU WA MKOA WA RUVUMA DKT CHRIETENE ISHENGOMA

 Hizo zote ni picha za pamoja na maaskofu wote na Rais Mstaafu aliye kuwa mgeni Rasmii katika sherehe hiyo
 Maaskofu wote
 Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma,Mama Anna Mkapa,Rais Mstaafu Mkapa na Norbert Mtega.
 Wa kwanza ni Muadhama Polikapi Pengo
 Hiyo ni kwaya iliyo koleze Ibada hiyo iliyo jumuisha kwaya 9 za Manispaa ya songea
Hawa watoto huongezea vionjo katika kwaya hizi siku hizi,wanamiondoko ambayo huwezi kuacha kuwatazama wakati kwaya hizo zikiendelea kuimbwa.

No comments:

Post a Comment