Friday, June 3, 2011

Vijana walio na fani ya ufundi wengi wao wamejiajiri na wanaendesha maisha yao kama vijana hao wa Songea

 Hawa vijana wamejiajiri wenyewe baada ya kuhitimu mafunzo yao katika chuo cha ufundi stadi VETA Na sasa wanakula matunda yake.
Wito wa vijana hawa kwa wenzao ni kwamba vijana wajiunge katika fani mbalimbali zitawato kwenye vijiwe na kuingia kwenye maisha ya kujipatia kipato.

No comments:

Post a Comment