Thursday, June 2, 2011

Dkt Jakaya kikwete azindua bodi ya Uongozi Institute Movenpick Jijini Dar es salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akihutubia wakurugenzi Taasisi ya Maendeleo Endelevu kwa uongozi wa Afrika katika Ukumbi wa Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam leo wakati wa uzinduzi wa Bod ya Uongozi Insititute
Baada ya uzinduzi wa Uongozi institute Dkt Kikwete alipiga picha ya pamoja na wafanya kazi wa Taasisi ya Maendeleo  Endelevu kwa Uongozi wa Afrika.katika Hotel ya Mavenpick Leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment