Wednesday, June 1, 2011

WANAFUNZI WA SEKONDARI KAMA HAWA WA SEKONDARI YA MANZESE JIJINI DAR ES SALAAM KUKAA CHINI KIWANGO CHA TAALUMA KITAPANDA ?

Hilo ni moja wapo ya darasa katika shule ya sekondari  Manzese Jijini Dar es salaam lisilo na madawati ya kutosha,baadhi ni hayo yanaonekana lakini wanafunzi wengine wanatandika mablanketi kama unavyoona yalivyo tandikwa chini,sio kulalia bali ni kukalia.
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Pr.Philipo Mulungo alifanya ziara kutembelea baadhi ya shule za sekondari na msingi Jijini humo hivi karibuni na kukutana na changamoto hizo za wanafunzi  wa sekondari kukaa chini.

No comments:

Post a Comment