Friday, June 3, 2011

UWANJANI MAJIMAJI KUNA MABANDA YA MAONYESHO KUNA VITU VINGI KWELI BAADHI UTAVIONA BAADAYE

 Haya nayo yanaonekana kwa mbali ni mabanda ya  maonyesho pembeni mwa uwanja wa majimaji Mjini Songea

 Mhe.Mtutul Mtutula Mbunge wa Tunduru akiangalia kitu kwenye banda hilo
 Hawa ni wenye banda wakiandaa vitu vya kuonyesha wageni wakitembelea banda lao.
 Banda hilo linashughulika na utunzaji wa mazingira

Banda hili wanaonyesha majiko ambayo haya chafui mazingira au kuharibu mazingira kwa kutumia majiko rahisi.

No comments:

Post a Comment