Thursday, June 9, 2011

Jubilei imefanikiwa kwa kiasi kikubwa wageni waalikwa walihudhuria kwenye sherehe hiyo

 Padre Patrick Kung'alo Askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Morogoro amemwakilisha katika sherehe hiyo
 Mr & Mrs Mumba Mkuu wa shule ya sekondari wamefika kwenye sherehe hizo
 Mzee Haule Ok Mwenye kiti wa sherehe hizo.
Mkuu wa Zimamoto Manispaa ya Songea Mapunda mwalikwa na kuangalia usalama wakati wa sherehe hizo
Maafisa kutoka Halmashauri ya Manispaa na Songea waalikwa katika Jubilei hiyo

No comments:

Post a Comment