JUMAPILI YA LEO JIJI LA MBEYA LILIVYO
Jiji la Mbeya kama linavyo onekana kutokana na camera yetu ilivyo chukua maeneo ya Soweto
Majengo ya biashara maeneo ya Mwanjelwa Jijini Mbeya
Njia panda ya kwenda Tukuyu, Uyole Jijini Mbeya camera yetu ilivyo pata picha hii wakati Blogger wetu akiwa safarini toka Mbeya kwenda Songea.
No comments:
Post a Comment