Sunday, June 5, 2011

LIJUE KANISA LA JIMBO LA MBINGA ALIPO WEKWE WAKFU ASKOFU JOHN NDIMBO

Hilo ndilo kanisa la jimbo la Mbinga na watu walivyo fika kushuhudia tukio hilo la aina yake.
 Ndani ya kanisa hilo mlivyo
Maaskofu
 Huyo ni mwandishi wa habari kutoka Ujerumani alikuwa na askofu wao aliyefika kwenye sherehe hizo
Baadhi ya  waumini na wageni wengine waalikwa
 Masiata wanakamati wa sherehe hizo.

 Rais mstaafu Wiliamu Mkapa na Mke wake na Rais Kikwete walikuwepo katika sherehe hizo
Watangazaji wa Radio Maria,na Radio Tumaini wakiwa wakirusha matangazo yote ya ibada iliyokuwa ikiendelea katika kanisa hilo.

No comments:

Post a Comment