Thursday, June 2, 2011

MAAZIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MANISPAA YA SONGEA MAMBO YAKO UWANJA WA MAJIMAJI KWENYE MAONYESHO

Hekaheka za vijana wa Manispaa ya Songea na mwamko wa kutaka kuleta maendeleo katika Manispaa hii wamechangamka kweli
Manispaa hii ilivyo leo watu wakiwa wakielekea kwenye mabanda ya maonyesho katika uwanja wa majimaji na wengine katika shughuli zao za kila siku mradi mji umechangamka kweli kweli.

No comments:

Post a Comment