Thursday, June 9, 2011

ASKOFU NORBERT MTEGA ALIKATA KEKI KATIKA UKUMBI WA PAROKIA YA BOMBAMBILI KAMA HIVI

 Askofu Norbert Mtega akikata Keki  baada ya chakula cha pamoja na wageni waalikwa katika ukumbi wa Bombambili Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma.
Anakata Keki kama Ishara ya kumshukuru Mungu kwa kuishi miaka hiyo katika kazi ya kitume akiwa na nguvu,na imani bado ya kuendelea kuchunga kondoo wa Mungu katika Jimbo lake la Songea

No comments:

Post a Comment