Thursday, June 2, 2011

MHASHAMU NORBERT MTEGA AZIMISHA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU NA 38 YA UPADRE NA 66 YA UMRI WAKE

 Mhashamu Askofu Dkt Norbert Mtega wa jimbo kuu la Songea ataadhimisha Jubile ya miaka 25 ya uaskofu,35 ya upadre na 66 ya umri wake tarehe 9 Juni 2011,ambapo Ibada ya misa takatifu itafanyika katika kanisa kuu la kiaskofu la Mt.Mathias Kalemba  Mulumba la Songea saa 4 asubuhi.
kanisa kuu la kiaskofu la Mt.Mathias kalemba Mulumba la Songea  kwa mbele ambapo ibada hiyo itafanyika siku hiyo

No comments:

Post a Comment