Thursday, June 2, 2011

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA ( CWT ) KIMEWEKA VITEGA UCHUMI WAKE KWA KUJENGA MAJENGO YAO KWA LENGO LA KUPANGISHA

Jengo hilo ni jengo la CWT liliojengwa mkoani Ruvuma kama kitega uchumi cha Chama hicho mkoani humo,Hiyo ni alama thabiti kuwa makato ya mishahara ya wanachama wao amboa ni walimu nchini yanatumika vizuri,Aidha kila Mkoa una magari yaliyo nunuliwa na CWT wenyewe.

No comments:

Post a Comment