Friday, June 10, 2011

Barabara ya Peramiho Mbinga inayojengwa na Wachina inatia matumaini

 Hii ndiyo barabara inayojengwa na Wachina kutoka Peramiho hadi Mbinga kazi imekwisha anza kama unavyo ona vumbi la magari msafara wa Rais Jakaya Kikwete siku  ya kwenda kumweka wakfu Asikofu John Ndimbi wa Jimbo la Mbinga.
 Utamaduni wa kiafrika mgeni anapopita watu hujitokeza kwenda kumpokea na kumshangilia hasa akiwa mtu mkubwa.hawa ni baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Liganga waliojitokeza kushangilia Rais wao wakati akielekea Mbinga hivi karibuni.
Mara nyingi mwanafunzi huwa analazimishwa kufanya jambo ambalo halipendi,lakini la kumwona Rais wao wa Nchi, hawa wanafunzi hata njaa wali isamehe,wanafunzi wa shule ya msingi Liganga wakiushangila msafala wa Rais siku hiyo.

No comments:

Post a Comment