Thursday, June 2, 2011

KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MKOANI RUVUMA DKT JAKAYA KIKWETE KUWA MGENI RASMI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha siku ya mazingira duniani ,inayofanyiwa katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma tarehe 5.6.2011,ambapo Mkamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali alizindua maazimisho hayo katika uwanja wa majimaji juzi.

No comments:

Post a Comment