Friday, June 3, 2011

Uzinduzi wa siku ya mazingira mambo yalikuwa hivi Air Port Songea.

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akishuka kwenye ndege kwenye uwanja wa ndege wa Songea Ruhuwiko siku ya Uzinduzi wa Siku ya mazingira mjini Songea hivi karibuni.
 Baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakimsubiri Makamu wa Rais Siku hiyo uwanja wa ndege Songea.

Makamu wa Rais akisalimiana na Mzee Songa Mbele baada ya kushuka kwenye ndege siku hiyo uwanjani hapo Ruhuwiko Songea.
 Dkt Bilali akisalimiana na Mhe.Mbunge Capt.John Komba alipowasili uwanjani hapo akiwa na Mkewe.

Makamu wa Rais akisalimiana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Ally Manya kwenye uwanja wa ndege Ruhuwiko Mjini Songea.

No comments:

Post a Comment