Wednesday, June 8, 2011

KESHO NDIYO HIYOOOOOO! ! !MHASHAMU NORBERT W MTEGE ANAADHIMISHA JUBILEI YAKE.

 Kesho mhashamu Norbert W Mtega ataadhimisha miaka 25 ya Upadre 38 ya Upadre na 66 ya umri wake,itaanza kwa misa takatifu katika kanisa kuu la kiaskofu la  Mt.Mathias Kalemba Mulumba la  Songea saa 4: 00 asubuhi.
 Mlango wa Geti la  kuingilia katika kanisa kuu ,kanisa ambalo misa takatifu itaendeshwa humo.
Hiyo Madhari nzuri kabisa  ya mbele ya kanisa hilo la jimbo kuu la kiaskofu mjini Songea.

No comments:

Post a Comment