Wednesday, June 1, 2011

Mtakanini wilaya ya Namtumbo kijijini Mkoa wa Ruvuma

Kijiji hiki ni maarufu sana katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa alikuwa akiishi katika kijiji hicho.Na kuwa mkulima wa mfano.

No comments:

Post a Comment