Friday, June 10, 2011

Rais Kikwete aliondoka uwanja wa ndege Songea Jioni kama unavyo shuhudia picha hizo, mambo ya camaera hayo

 Baada ya shughuli za kuwekwa wakfu askofu John Ndimbo Rais alirejea Jijini Dar es salaam jioni kabisa,alikuwa akiwaaga wenyeji wake tayari kwa kupanda ndege
 Lakini kikundi cha Lizombe nacho hakikuwa mbali katika kumwaga Rais siku hiyo katika uwajna wa ndege Ruhuwiko Songea.
Mpiga picha wa Rais naye alijikuta anaingia kwenye Camera ya Blog hii,wakati akimalizia kupiga picha zake Mkoani Ruvuma siku hiyo.

No comments:

Post a Comment