Wednesday, June 8, 2011

DAGAA NYASA MJINI SONGEA NA VITONGOJI VYAKE NI WENGI KWA BEI POA

 Dagaa kutoka ziwa nyasa   Au Dagaa nyasa wanafikishwa na mabasi kutoka ziwani kwa matenga kama unavyo muona huyo msichana,hivyo anauza kwa kujaza dumla kwa shilingi 4,500  badala ya shilingi 6,000.anawauzia wachuuzi wadogo wadogo.
Hawa nao ni akina mama wanauza kwa kutumia visado kupanga mafungu katika standi ya mabasi na wengine wako soko kuu la Songea na wengine Lizaboni.Ruvuma.

No comments:

Post a Comment