Wednesday, June 8, 2011

BAJETI 2011/2012 MKULO ASEMA MAFUTA ,UMEME VITAMPUNGUZIA MWANANCHI UKALI WA MAISHA

  Waziri wa Fedha Mstapha Mkulo amesema matumizi ya shilingi trilioni 13,525,825 ni mwendelezo  wa serikali wa kumletea mwananchi maendeleo.ambapo Bajeti ya 2011/2012 imejibu changamoto ya kupanda kwa bei za mafufa na upatikanaji wa umeme.kutokana vyanzo vilivyopo.
Spika wa Bunge Mhe.Anne makinda ameahirisha mkutano wa Bunge hilo hadi tarehe 13/6/2011 saa 3.00 asubuhi,ambapo  waheshimiwa Wabunge watachangia bajeti hiyo.tarehe 15/6/2011.

Msajili wa vyama nchini Bwana John Tendwa alivyo ulizwa kuwa anaionaje Bajeti ya mwaka  wa 2011/2012 anaionaje,alisema bajeti hiyo ni nzuri kama itatekelezwa.

No comments:

Post a Comment