Friday, June 3, 2011

Nawatakia li - Jumaa njema Waislamu wote Duniani waliojumuika na Waislamu wengine katika Sala ya Ijumaa.

Blog hii inawatakieni Waislamu wote Duniani kwa kuungana na Waislamu wengine katika Misikiti mbalimbali Duniani katika Sala ya Ijumaa.Kwa lengo la kumuomba Mola ili nchi ambazo amani imetoweka irejee kama awali.

No comments:

Post a Comment