Wednesday, June 1, 2011

DKT MOHAMED GHARIB BILALI AZINDIA SIKU YA MAZINGIRA MJINI SONGEA MKOANI RUVUMA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohamed Gharib Bilali amezindua maazinisho ya siku ya mazingira duniani kwa kubonyeza kitufe kuashiria uzinduzi huo.

Maazimisho ya siku ya mazingira duniani yatafanyika kitaifa mkoani Ruvuma,ambapo wageni mbalimbali watajumuika na wakazi wa mji wa Songea.Ambapo Mkuu wa Mkoa huo Dkt Christine Ishengoma yuko mstari wa mbele katika kukemea wananchi wenye tabia ya kuharibu mazingira.

No comments:

Post a Comment