Friday, June 3, 2011

UKIFIKA KWENYE MAONYESHO HAYO UTAKUTANA NA NYANI,NUNGUNUNGU NA KATOTO KA MAMBA

 Bwana Matson Mwakanyamale mkuu wa kikosi cha kupambana na ujangili Kanda ya Kusini akimshika mamba mtoto akiwaonyesha watu waliokwenda tembelea kwenye banda alimohifadhiwa mamba huyo wa maonyesho.siku ya uzinduzi wa siku ya mazingira duniani yatakayo fanyika mkoani Ruvuma mwaka huu.
 Banda hili yupo huyo nyani ambaye anakula chochote kinacholiwa na binadamu,kwake ni halali tu

Hapa kuna nungu nungu mnyama mwenye miiba kama mishale,kama anavyo onekana kwenye banda hilo.

No comments:

Post a Comment