Wednesday, June 1, 2011

PIKIPIKI ZINACHANGAMSHA MJI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA USAFIRI WA TAXI MANISPAA YA SONGEA INGAWA ZINALETA AJALI

 Hapa ni mwebechai kupandishia Lizaboni na jinsi waendesha pikipiki wa Manispaa hii wasivyo zingatia kanuni za uendeshaji salama wa pikipiki,badala ya kuvaa crash helmet kichwani yeye helmet amevisha pikipiki.
 Hawa ni wale wanaozingatia kanuni za usalama wakati wakiendesha pikipiki zao wamevaa crash helmet zao kichwani
Pia zinasaidia sana katika kushabikia chama chochote wakipendacho, ama kwa kupewa kitu kidogo ili waweze kuhasisha maandamano.Hapa ni Lizaboni kuelekea viwanja vya Kiblan'goma Manispaa ya Songea

No comments:

Post a Comment